Vyombo vya usalama nchini Nigeria vimesema vimewaokoa watu wawili waliotekwa nyara wakati wa shambulio dhidi ya msafara wa Marekani
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Alhaj Hemed Suleiman amewataka  viongozi wakuu wa Serikali kijumuika  na wananchi katika matukio mbalimbali
Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limetiliana saini Mkataba wa usimamizi na uendeshaji wa bandari ya Malindi na kampuni ya Africa Global Logistics
Kamishna wa polisi Zanzibar CP Hamad Khamis ameahidi kuwahimiza askari wa jeshi hilo kuendelea kufanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi na za jeshi la polisi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameiasa jamii kuacha kutelekeza Familia
Wawakilishi walia na hali ya Uchafu katika Jiji la Zanzibar , waitaka Serikali kuchukua hatua haraka
Ajali ya Treni Dar Es Salam, yajeruhi 15 na kupoteza Maisha ya mtu Mmoja
Mashirikiano ya Zanzibar na Misri yaleta Mageuzi Saecta ya Uchumi wa Buluu, Waziri aanika kila kitu
Watoto wa 4 walioanguka na Ndege  na kutoweka wapatikana wakiwa hai
Alietaka kuonana na Raisi Kenya Akamatwa na Polisi
Subscribe

LABELS