Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 04 Novemba 2021 alipokua akitokea
nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa
uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani.
Mhe. Rais Saia awasili nchini akitokea Scotland
SK NEWS
November 04, 2021
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.




0 Maoni