Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar imeeleza kujivunia kwake kwa uwepo wa madaktari Bingwa Kutoka Nchini
China ambao wamekua wakisaidia Matibabu ya Magonjwa Mbali mbali hapa Nchini.
Madaktari kutoka China wasaidia Zanzibar kupiga hatua Sekta ya Afya
SK NEWS
November 05, 2021
Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto
Dk.Abdullah Ali Suleiman, akifunguwa Mkutano wa Kitaalamu wa Kisayansi wa
kujadili maradhi mbali mbali ya kina Mama, kwa njia ya
Mtandao,uliyowashirikisha Madaktari na Manesi, hafla iliyofanyika Hospitali ya
Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Na Mwandishi wetu
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.




0 Maoni