SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inaendelea kufanya mazunguzo na taasisi za kifedha kwa ajili ya kuwapatia mikopo Pamoja na elimu ya ujasiriamali wanawake wajane waliofiwa ama kuachwa na waume zao na kuachiwa mzigo wa ulezi wa familia ili kuwasaidia kukabiliana na hali ya umaskini wa kipato..
Serikali ya Smz yajipanga kuwawezesha wajane elimu ya ujasiriamali na masoko
SK NEWS
September 02, 2021
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inaendelea kufanya mazunguzo na taasisi za kifedha kwa ajili ya kuwapatia mikopo Pamoja na elimu ya ujasiriamali wanawake wajane waliofiwa ama kuachwa na waume zao na kuachiwa mzigo wa ulezi wa familia ili kuwasaidia kukabiliana na hali ya umaskini wa kipato..
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.

0 Maoni