Michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea kutimua Vumbi Dar Es Salam inatarajiwa kufikia tamati kesho Jumamosi wakati Yanga itashuka Dimbani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Vinara wa Kundi A Express katika Mchezo utakaopigwa kuanzia saa kumi za Jion.
Katika Mchezo
huo ambao utakuwa muhimu kwa Yanga watahitaji kupata ishindi kwa idadi yeyote
ya magoli ili ijihakikishie uhakika wa kutinga hatua ya nusu fainali.
Yanga tayari
imeshacheza michezo miwili na kushindwa kupata ushindi wakilazimishwa sare 1-1
dhidi ya Nyasa Bullets na 1-1dhidi ya Atlabara fc.





0 Maoni