Wachezaji wa Simba FC wanawatariwa kuwanza kurejea Jijini Dar Es Salam kwaajili ya Maandalizi ya Safari kwaajili ya Kambi Nchini Morocco.

Simba inatarajia kusafirisha wachezaji na Benchi la ufundi kwaajolim ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza kutimua Vumbi Mwezi September.

Tayari Matajiri hao wa Kariakoo wameshamtanguliza Mtendaji Mkuu wa Simba Sc Barbara Gonzalez  nchini Morocco kwaajili ya kuandaa taratibu kwa ajili ya kambi ya mabingwa hao .