Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, kufuatia kifo cha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias John Kwandikwa kilichotokea tarehe 02 Agosti, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia atuma salam za pole kufuatia Kifo cha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Tanzania
SK NEWS
August 03, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, kufuatia kifo cha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias John Kwandikwa kilichotokea tarehe 02 Agosti, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.

0 Maoni