RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza  Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi  Tanzania Balozi Mohamed Hamza na (kulia kwa Rais) Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi  Tanzania Mhe.Anne Makinda walipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika leo 12/8/2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa makabrasha  ya Sensa na  Kamisaa wa Sensa  ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda  baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Ujumbe wake, mazungumzo  hayo yaliofanyika katika ukumbi  wa Ikulu Jijini Zanzibar


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe. Anne Makinda  na Mtakimwi Mkuu wa Zanzibar Bi.Mayasa Mahfoudh  na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka Zanzibar.Balozi Mohamed Haji Hamza