RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni (pichan hawapo) wakati wa
ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.
WANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wakulima wa zao la mwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ilioaza leo 31-8-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Khatib Mshindo mkulima wa Mwani akizungumza changamoto za zao la Mwani wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kuzungumza na Wakulima wa mwani wa Kiuyu mbuyuni leo 31-8-2021
KATIBU wa Kamati ya Kilimo cha Mwani Kiuyu Mbuyuni Bi. Bimkubwa Mkashasha Shaame akizungumzia changamoto za zao la mwani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa ziara yake kuwatembelea wakulima wa Mwani katika Kijiji cha Kiuyu mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba leo 31-8-2021
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB Bw.Toyi Ruvumbagu akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) wakati wa ziara yake kuwatembelea Wakulima wa Zao la Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba Benki ya CRDB itatowa mkopo kwa Wakulima wa Mwani na Vijana wa Bodaboda Pemba
MWANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Hamad Kombo Msolopo akizungumza kero yake wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuzungumza na Wakulima wa Kilimo cha Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni (pichan hawapo) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.(Picha na Ikulu)





0 Maoni