JAMII imehimizwa kutenga muda kwa ajili ya kufanya
mazoezi ili kulinda afya zao na kuepukana na maradhi nyemelezi ambayo
matibabu yake yangehitaji kutumia fedha nyingi.
Mh Salama: mazoezi yanaepusha maradhi ya Presha na kisukari
SK NEWS
August 16, 2021
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.





0 Maoni