Wafanyakazi
watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) wamefariki dunia kwa ajali ya gari
aina ya Land Cruiser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso wakati wakifukuzana
na gari iliyodhaniwa kubeba bidhaa magendo.

Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.

0 Maoni