Jeshi la Polisi Jijini Dar
Es Salam asubuh ya leo wamewatawanya wafuasi wa Chama cha Democrasia na
Maendeleo Chadema waliokuwa wamekusanyika nje ya Mahakama ya Kisutu kufuatia
kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe.
ANGALIA (VIDEO) TUKIO ZIMA NJE YA MAHAKAMA YA KISUTU POLISI WALIVYOWATAWANYA CHADEMA.





0 Maoni