Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Jamal Kassim Ali, amewateua wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais Fedha na Mipango imesema, kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 7(2), (c), (i), (ii), (iii) cha Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Namba. 2 ya mwaka 2005, amewateua wafutao kuwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
1. Bw.Arafat Ally Haji
2. Bw.Assaa Sharif
Khalid
3. Bw. Jaha Haji
Khamis
4. Bi.Khadija Shamte
Mzee
5. Bi. Sabra Omar
Hussein
6. Bw.Said Abdalla Basleym.





0 Maoni