ZANZIBAR
Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar imewatahadharisha wananchi kujiepusha na ushiriki katika kampuni
zinazojihusisha na ukusanyaji wa fedha taslim au njia ya mtandao kwa kigezo cha
uwekezaji ili kuepusha upotevu wa mali zao.
Tahadhari ya Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar inakuja miezi kadhaa baada ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi
kuingilia kati na kutaka kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Kampuni ya Masterlife
Microfinance Ltd ambayo ilikusanya fedha kwa maelfu ya wananchi kinyume cha
taratibu za nchi ambapo Rais Dkt. Mwinyi alitaka Kampuni hiyo kurudishia fedha
kwa wananchi





0 Maoni