Kenya imerekodi visa 566 vipyaVya mahitaji ya COVID-19 kutoka kwa sampuli 5,344 katika muda wa saa 24 zilizopita.

 Kufikia sasa Kenya imesail Jumla ya visa 187,525 kutoka kwa sampul 12,001,786

Katika visa hivi vipya, 546 ni Raia wa  Kenya huku 20 wakiwa raia wakigeni, 318 ni wanaume  248 ni wanawake

 Mgonjwa mwenye  umri wa chini anamiezi 11 huku mwenve umri wa juu akiwana miaka 97.

 Asilimia ya maambukizi ya corona Nchini Kenya yamefikia  asilimia 10.6%. 

Kulingana na Takwimu iliyotolewa na Wizara ya Afya Nchini Kenya imeeleza Wagonjwa 1.934 wamepona virusi vya corona, 1,693 walipona wakiwa Nyumbani huku 241 walipona wakiwa katika hospitali mbali mbali na kufikisha  idadi ya jumla ya watu 176,456 waliopona.

 Taarifa hiyo imeelezea watu 11 wamefariki kwa ugonjwa huo  na kuifanya Idadi ya watu waliofariki kwa Corona Nchini Humo kufikia  3,716.

Jumia ya wagoniwa 1,196 wamelazwa hadi hivi sasa katika vituo mbali mbali vya Afya.huku wengine  4.825 wakiuguzwa nyumban.

Wagonjwa 116 wamo katika kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU)