-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakiangalia
moja ya ngoma ya asili ya Burundi walipowasili katika Ukumbi wa Royal Jijini
Bujumbura kwa ajili ya kushiriki katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na
Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha
ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye
wakishuhudia utiaji saini hati ya makubaliano kuhusu baadhi ya mambo ya
utekelezaji kati ya Tanzania na Burundi iliyofanyika leo Julai 17,2021 katika
Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia kwenye mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi
uliofanyika leo Julai 17,2021 Jijini Bujumbura Nchini Burundi. Ambapo Mhe. Rais
Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakiingia
katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuhutubia katika
Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai
17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na
Watanzania wanaoishi nchini Burundi alipokutana nao Jijini Bujumbura Nchini
Burundi leo Julai 17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya
siku mbili Nchini Burundi.










0 Maoni