Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 07 Julai, 2021 amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Barrick Gold Bw. Mark Bristow Ikulu Jijini Dodoma na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu utendaji kazi wa kampuni hiyo na kampuni ya Twiga.
Rais Samia amekutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Barrick Gold Bw. Mark Bristow
SK NEWS
July 07, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 07 Julai, 2021 amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Barrick Gold Bw. Mark Bristow Ikulu Jijini Dodoma na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu utendaji kazi wa kampuni hiyo na kampuni ya Twiga.
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.

0 Maoni