Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa
Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa MKURUGENZI WA IDARA YA
NYARAKA NA KUMBUKUMBU, ZANZIBAR , BWANA SALUM SULEIMAN SALUM kuanzia
leo tarehe 26/Julai,2021.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kutiwa saini na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Mhandisi Zena A. Said.





0 Maoni