Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akiagana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo
baada ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM
kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. IKULU
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mhe.Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu
SK NEWS
July 29, 2021
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.






0 Maoni