Habari Mtu wangu wa Nguvu karibu Sknewsznz leo nakuletea video kutoka Madrasa Darsu (Tim Mapambano) wanaopatikana Mkele Zanzibar tumepata kuzungumza nao juu ya kazi zao za Qaswida pamoja na mipango yao kwa Mwaka 2021.
Alhaji Gorin alezea Safari ya Darsu, amtaja Madawa, watuma ujumbe kwa Madrasa za Mnanda Zanzibar.
SK NEWS
July 06, 2021
Tags:
Kuhusu SK
Naitwa Suleiman Kidudu, kwa Kifupi "SK", Kitaaluma Mimi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari, najishughulisha katika kuandaa na Kutangaza Vipindi mbalimbali kuanzia Ngazi ya Habari, Siasa, Michezo, Burudani na Vipindi vya Mapenzi na Mahusiano. Kadhalika nimejikita katika Uandishi wa Habari na Makala za Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, Burudani na Uandishi wa Simulizi za Mahusiano ya Kimapenzi.





0 Maoni