Afisa kutoka (WHO) Dkt. Vendelin Simon akijibu maswali ya wandishi wa
habari (hawapo pichani) katika Mafunzo ya Chanjo ya Kipindupindu yaliyofanyia
ukumbi wa mikutano Wizara ya Afya.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Halima Ali Khamis akiwasilisha mada ya uhamasishaji Chanjo ya Kipindupindu kwa wandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano Wizara ya Afya.
![]() |
Baadhi
ya wandishi wa Habari wakifuatilia mafuzo kuhusu Chanjo ya Kipindupindu kwa
Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Halima Ali Khamis (hayupo pichani) alipokuwa
akitoa mada yake.








0 Maoni