Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan

akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji

mara baada ya kushiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali

wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afri

ka SADC uliofanyika leo tarehe 23

Juni, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano

Maputo Msumbiji.